Monday, July 26, 2010

WADAU ....TUMSAIDIENI NANCY!!

Jamani mimi nina shda moja naomba wadu wa 8020 plz wanisaidie dia. Mimi ni mdada i have 30 yrs old, my big PROBLEM  jamani me mwenzenu ninasweat sana yani it doesn't mata niko kwenye ac or wapi? Yani hata kama saa nyingne naendesha gari nikiangalia kwapa lote limeloa. Nasweat sana makwapa, kwa kweli kama ni usafi najitahidi sana coz i am thnx God amenijalia vijisent. Nimeshauriwa sana kununua cjui dry deodorant, cjui DRY BODY SPRAY so that zikaushe lakini wap. I am trying so many tyms not to have ARMPIT HAIR. Kila mara nashave, so makwapa yawe masafi bt tatzo ni jasho hili linalotoka kwapani.
Mwenzenu CWEZI VAA NGUO YA PLAIN COLOUR kama white, pink, yellow or any plain color nikvaa ni soo nitasweat mbay mpk kikwapa kinajchora. Plz nisaidieni, nitumie nini jamani au nifanyaje ili niepukane na dhahama hii, yoyote yule ambaye ameshawhi kuexperience tatzo kma langu anisaidie plz. I 'll be so happy guys.
 
I real need yo help guys.
Nancy.

No comments:

Post a Comment