Thursday, July 29, 2010

UONDOEJE CHUNUSI!!

Chunusi husababishwa na kuongezeka kwa uzalishaji wa Testosterone hormone na mafuta yamwili wakati wa mabadiliko ya kimwili pia husababishwa na msongo wa mawazo, matatizo ya kisaikolojia.
Product kama Tea Tree Oil, Aloe Vera, Zinc, and Vitamin A ni vitu vya kihalisi vinavyo weza kutibu chunusi na kuna baadhi ya product hazishauriwi kutumiwa na mtu kama unaujauzito au unatatizo la kiafya hivyo unatakiwa kuwasiliana na dactari kabla ya kutumia kwa ushauri.

HAYA KUONA ZAIDI INGIA DARASANI

lugha ni kiswahili kasikia maombi ya wadau wake

No comments:

Post a Comment