Monday, July 26, 2010

DESTA KIBAO KATA!!

BRIDE:: DESTA LAISER
EVENT::KIBAO KATA
DRESS CODE::DIRA
VENUE::CHICHI HOTEL
ORGANISER::JENIFFER PEMBA


                                         Hapa sambamba na shost Aishaaa Mamaa wavikubaaa...:(




 muandaaji Jennipher Pemba alituzwa na shost zake....niliguswana style ya makabiziano...shurt kwa nyonga, kyekue mie ningeweza wapii...mnatutisha ivyooooo....wink

PANCH NA KUNGU vilikuwepooooo!!


                           kuna watu wamejaaliwa nyonga jamani na huyu ni mmoja wao.....haijalishi umbileee bibi
Dida weeee unataka kuona mitikisiko yake mzukie humu

RED CARPET






                                            Mashughuli nae alikuwepoooooo mcheki humu



                                               heheheyaaaa mtu na pacha ake....chichemi mieee


        Bilal Mashauuu Seduction seductin akiwa na washkaji zake...wakati ni Mbunifu Shaban toka  Norway


No comments:

Post a Comment