Thursday, July 22, 2010

JOSSELYN KIBAO KATA!!

 EVENT::KIBAO KATA
COLOR::ANIMAL PRINT ,BLACK & WHITE
VENUE :: SARAH RAQEY'z PLACE
THEME::50'z HAIR DO

                                                           MWALI NA SOMOYE




                                         ulikuwa wakaribishwa na panch na mishkaki ya matunda
              UJI WAKUNGU BILA KUKOSAA...HUU ULIKAANGWA NA KHADIJA MAWO WO WO
KILA ALIYEINGIA ALIKABIDHIWA SHANGA BIBI as a favor...MWANAMKE SHANGA BIBI KUTEMBEA KIUNO KIKAVU INAHUUUUUU?!!!
                                           WANA KIBAO KATA WENYEWE NDO HAWA!!

                                                        Ma....mh! Parent mate
wadada walikuwa na kijizawadi kwa mdogo wao......Wapi shangaziiii:( 
 
HAIR DO'Z
...SIKU HIYO HAIR DO ILISEMEKANA ZIWE STYLE ZA LONG .......50'S HAIR, NI WACHACHE WALIOITII THEME
                                                        Aunt hapa aliibuka na BWEZI
Kyekue Giver aliniambia hii style ilikuwa inatumika saana na Maza ake enzi zao wakitoka kwenda kwenye ubarikio...wink...
Hii picha haikutakiwa kuwepo hapa ila sababu ipo ina sababu...mie huo wanja ndo uleee wa TATOO siku hizi ila zamani ulikuwa unapakwa na mafuta ya mgando!!
                                               Da Khadija ye aliibuka na NYWELE ZA UZI
                        miaka hiyoooo kama huna zazuuu kichwani basi ulikuwa na msitu kama huuuuu.....cheki kope
 HII STYLE NIAMBIWA ILITESA SAANA MIAKA HIYO KAMA ILIVYO RIRI YA SASA...lol

 Madam Sarah ye alichomoka na AFRO.....Kumbe watu wa zamani walikuwa wanapendeza eee??!!
HII STYLE ILIKUWA INATUMIKA KWA MALKIA ZAIDI ...vere class pepo ...ndo walikuwa wanalipuka na hii
       BI HARUSI YE ALITOKA NA HII...SIKU HIZI INATAMBULIKA KAMA MAMUSHKA ...upo hapo...wink
                                                
RAHAAAAAAAAAAAAAA ya MDUARA UZUNGUKEEE..WA MBELE AENDE NYUMA NA NYUMA AENDE MBELEEE


                                                 NYONGESHAAA BIBI NYONGESHAAAA
        DADA WA BI HARUSI JACQUE NAE AKATANABAISHAA YE SIO KYEKUEEE....wink!!
BI HARUSI NA SOMOYEEE NAO WAKATUONESHAA MAKEKEEE WALIANZA KWA KUSIMAMISHA MNAZI....WAAKKAZA TWANGA NA MWISHOOO WAKATAMBAAAA


                                                Hii ilikuwa ni moja ya sare ya siku hiyo







































NILIKOGUSWAA


No comments:

Post a Comment