Thursday, July 22, 2010

SHEAR HAIR & BEAUTY.....KUJA NA LADY JAY DEE ANNIVERSARY!!

Shear Hair & Beauty - Jarida pekee Africa Mashariki na Kati la mambo ya nywele na urembo toleo jipya litapatikana mnamo tarehe 6 Agosti katika ukumbi wa Mzalendo Pub, Millennium Towers katika sherehe ya uzinduzi wa Album mpya ya Lady Jay Dee na Machozi Band. Nunua nakala yako moja tu kwa bei ya Tsh.5,000 ujipatie copy moja ya Combination Album CD Origino Bure!

No comments:

Post a Comment