Wednesday, September 1, 2010

ANAOMBA USHAURI HUYUU

habari zeze, naomba ushauri kwako na kwa wasomaji wa blog yako. Nasikia kuna mazoezi ya kumfanya mtu awe na hips na matako, naomba anayejua mazoezi hayo anielekeze jinsi ya kufanya coz mimi ni mwembamba sana sina hips wala matako najihis sipendezi nikivaa nguo kwa kukosa hips. Please kama unajua mazoezi hayo nielekeze my dia.

No comments:

Post a Comment