Monday, September 20, 2010

TUMSHAURINI

Nilikuwa naomba ushauri toka kwa wadau wako, ni hivi sometime sisi wanawake uso unakuwa na nywele kama sehemu ya juu ya mdomo au chini ya pua, ambazo zinakufanya usionekane soft, pia hazipendezi, pia malaika pembeni ya uso nywele zinashuka, swali langu je nyie wenzangu huwa mnazifanyaje, mm nilijaribu sana kunyo, wakati mwingine ila siku hizi nikinyoa naona kunakuwa na vivuli vyeusi hapa chini ya pua, je njia nzuri ni ipi, wax siuwezi kwani ngozi naona laini wax utanitoa nyama, je kuna shaving yyt ya women, aftershave ambazo hazina ukali,yaani sipendi uso wangu uwe na vinywelenywele naona sivutii,je hapa tz wapi wanuza
face hair remover anaejua atujuze.je vivuli nivitoaje.

Sw

No comments:

Post a Comment