Wednesday, September 8, 2010

MSHAURINI!!

NIMETOKA NA MADOA DOA MEUSI USONI NIFANYAJE ILI YATOKE, NAOMBA NIAMBIE NITUMIE NINI NA KIPINDI CHA UJAUZITO PIA NILITOKWA NA MADOA MEUSI MWILINI JE NIFANYAJE  ILI VIISHE MWILINI.

No comments:

Post a Comment