Monday, September 13, 2010

KUTOKA MAJUU

KATIKA  WHITE CARPET  YA MTV VIDEO MUSIC AWARD 
she rock the red carpet!!

hii nayo ni lace eee....Mwaka huu hakuna rangi mtaacha ona!!
gaga kama kawaida yake haribu mbayaaa
vimini lace zimetawalaaaa...
hii ilikuwa nako mchana eee naona kamwanga fulani hivi watu full vimini...huyu shost ana mabuti...huko wenzetu ni winter au ndo mambo yale ya centgrade hazifanani na bongo.....nauliza tu :(

Nawaandalia picha za Miss Tanzania red Carpet.......stick Around!!...Dar i was watching Youuuu....wink

No comments:

Post a Comment