Tuesday, September 21, 2010

SHEAR KUZINDUA JARIDA NA MLIPUKO TOKA ZAMANI


. Tamasha la hisani la Shear linaloitwa kwa kimombo ‘Blast from the Past Shear Charity Ball’  au ‘Mlipuko toka Zamani’ litabeba ushuhuda wa mitindo mbalimbali na kuzindua rasmi  jarida lake ambalo liko kwa muda wa mwaka mmoja sokoni.

Tamasha la ‘Blast from the Past’ litafanyika Hilton Hotel tarehe 2 Oktoba mwaka huu
 KUONA NA KUSOMA HABARI ZAIDI PITIA

No comments:

Post a Comment