Monday, September 13, 2010

ANGALIZOO!!

KUTOKANA NA MAONI YA WATU NA NIA NZIMA YA 8020 FASHIONS NI KUELEWESHANA KUHUSU FASHION....NINGEPENDA WADAU TUWE
TUNAKUMBUSHANA TIPS ZA FASHION AU KUELEWESHANA....KAMA MJUAVYO MIMI SIFAHAMU KILA KITU HIVYO NAWEWE MDAU UNARUHUSIWA KUSHIRIKI KWA KUTUPA ANGALIZO LOLOTE LIHUSIANALO NA FASHION....Kizuri kula na wana na kibaya mtupie mbwa


KWA KUANZA  LEO NAOMBA NITOE ANGALIZO HILI

KAMA UKIVAA NGUO YA BEGA MOJA.....MIE NAPENDA KUZIITA 'KARDASHIAN STYLE " KUTOKANA NA WAO KUPENDA ZIVAA NA ZINAWATOA
, ANGALIZO UKIVAA NGUO KAMA ILE USITUPIE CHENI YOYOTE KIFUANI VAA HERENI TU .....

NI HAYO TU KAMA UNA LOLOTE UNATAKA TUAMBIE TUMA PITIA
shamyomy@yahoo.com

                                                Nancy nae huivaa bila cheni......msafiiiiii
kutuma angalizo na picha ya mfano tuma vi shamyomy@yahoo.com

No comments:

Post a Comment