Friday, March 18, 2011

FLAVIANA AHOJIWA NA TMH BLOG


SWALI:TMH - FLAVIANA HONGERA SANA KWA KUPATA TUZO YA ARISE MODEL OF THE YEAR TUNAAMINI NI HESHIMA KUBWA KWAKO NA KWA NCHI YAKO UNAJISIKIAJE KUCHAGULIWA MSHINDI?

JIBU: FM- Najisikia furaha sana na ninamshukuru mungu kwa wale wote walionipa ushirikiano tokea mwanzo mpaka kufikia hapa nilipo.
SWALI:TMH - UNGEPENDA UFIKIE MALENGO YAPI BAADA YA MIAKA MITANO?

JIBU:FM - Kwakweli malengo yangu ni mengi lakini kwa upande wa fani yangu ningependa kufikia kilele kwa kuwa mwanamitindo anaetambulika ulimwenguni na pia kuheshimika. Ningependa kuwa "role model" yaani mfano wa kuigwa na wasichana wa kiafrika ili waweze kuamini kuwa ndoto yao inaweza kuwa kweli, haijalishi ni ile ya kuwa mwanamitindo,daktari au mhandisi.
                                          KUSOMA ZAIDI INGIA HUKU
                                                        TMH MITINDO


No comments:

Post a Comment