Thursday, March 24, 2011

MKURUGENZI WA VODACOM ATEMBELEA AFRICA MEDIA GROUP NA IPP MEDIA GROUP

Mkurugenzi wa IPP media Joyce Mhavile akifafanua jambo kwa Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare , Mkurugenzi  Mahusiano wa Vodacom Mwamvita Makamba mara walipotembelea  IPP media group leo kwa ajili ya kujenga mahusiano ya kufanya kazi kwa pamoja.
 
Mkurugenzi wa mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akiwa kwenye studio mpya na ya kisasa ya Channel Ten iliyo chini ya Africa media group.
Mtangazaji wa Magic Fm Salma Msangi akiwa kazini
Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare wapili toka kushoto akiongea na uongozi wa Africa Media Group walipowatembelea kwenye ofisi zao  kwa ajili ya kujenga mahusiano ya kufanya kazi kwa pamoja na kuwapongeza kwa kuporesha studio zao.

No comments:

Post a Comment