Sunday, March 13, 2011

MUDY BAG PARTY!!

VENUE::KARIMJEE HALL
COLOE::BABY BLUE & WHITE
BURUDANI::RUSHA ROHO & JAHAZI MODERN TAARAB
washakji walikuja msaidia mwenzie kuaga ubachela
nyie si mwanyanyua kidoleee juuu....Mudy alinyanyua mkono juuu Upo Nyonyo?!!!
hapa kuna MADINI na DINI......tafakariiiiiiii!!
huyu ni mdogo wa mbonie wa hiyari...hivyo alikuwa na suprize ambapo alimuandalia cake  ambayo ilikuwa na picha ya jidada full mawowo na mishanga juuu....eti akamfunda na kumweleza kuwa ataka ile cake ikiwa ndo ishara ya kuachana na VICHECHEDE  na tulie na mkeweee.....ilikuwa fresh nilipenda ubunifuuu
kwa ufupi alipata kila kitu cha ndaniiii....maana hata picha nilichoka kupiga mieee




sasamba sasambu mibegi kama twasubiri tren ya kigoma.... mama alidhamiria mwanae asinunue nguo kwa muda wa miazi 6 ....mi nilichokaaa nikasepa mwayaaaa....kuna kavidei nawaandaliaaaa kana kuja....kuweni na subira mambo mazuri hayataki haraka ;)

wana wa JAHAZII HAOO wanaeleaaa
 Mc Jamila Kitim  tim Mama lao.....timua timua
NAPENDAGA WAMAMA WAKIVAA HIZI NGUO......hebu nyama zinijae nami nianze tinga....WANANOGA EEE...YANAPATIKANA KWA ROZELLA TAILORING MART....wapendeni mama zenu kama si aunt au dada zenu
                                                               ZULIANIIIIIIII

AH WANA WA JAHAZI BIBI WALIPOZI ZULIANI EEEE
LANGU ROHONIII
kamati iliwezeshaaa mambo ndo iyoooo ikiongozwa na Tanti Boy...
back to afrika haikosekaniii




                                         NILIKOGUSWAAAA

KIKUBAAA SHOST KIKUBAAA WAPITA UKINUKIA....HATA KWAPA LAINA GANI LIPITE HULISIKIIII.....wapiii Aishaaa ;)
yes......madiiiiniiiii Maaadiniiiiii
hair do...u name color of the event watu tusukeee ;)
                                                            KT.......muhimuuuu

No comments:

Post a Comment