Saturday, March 5, 2011

MWALIKO NDO HUU


Maandalizi ya kuadhimisha miaka 100 ya siku ya wanawake duniani yamepamba moto, shughuli kubwa inatarajiwa kufanyika viwanja vya JANGWANI  na kisha viwanja vya MNAZI MMOJA siku ya JUMATATU  tar 7.03.2011.
Kama unatambua, kujali na kuthamini mchango wa wanawake, jumuika nasi katika halfa hii itakayokutanisha wamama, wadada, wakaka na wababa kutoka kada na maeneo mbalimbali ya tanzania
Karibuni sana. Kuhudhuria kwenu ndio kufanikisha shughuli hii
Kwa maelezo zaidi

No comments:

Post a Comment