Wednesday, March 23, 2011

NEW ARRIVALS..................@EK FOOT WEAR



HAYA WADAU....KAMA KAWA MWAKA MPYA MAMBO MAPYA...NI EK FOOT WEAR HAO.... BAADA YA KUKUUZIA SAAANA VIATU SASA WAMEKULETEA HANDBAG PIA...AMBAPO SASA ZAIDI YA KUVAA VIATU WANATAKA UTOKE FULL NA NGUO ZA OFISINI PAMOJA NA POCHI ZA UKWE'E KUTOKA MAREKANIIIIIIII......BILA KUSAHAU KUNA SALE YA NGUVU.....KT.... NDANIII YA SALE..upewe nini tena mteja
....PITA LEO BASI
WANAPATIKANA::: BENJAMIN MKAPA TOWER GROUND FLOOR
MAWASILIANO:: 0773 264243 , 0784 264243




                                                    MAMBO YA VIWALOOOOO

suti ndo izoooo kwa wale wa full ngwamba
NARUDIA TENA KUNA SALE JAMANIII...KANYAGA TWENDE NAZO SELINII....usiseme sijaandika K.K.W ;)
KUNA SALE YA WATOTO ....KWA 5000 UNAONDOKA NA KIATUUUUU....tajiri kadataaa?! HAYA SHOSTITO NA SHOSTINGO MPENDE MWANAO.

No comments:

Post a Comment