Monday, March 7, 2011

IQRA'S BIRTH-DAY

IQRA ametinga kivazi  toka TINY COLLECTIONS...NI MABINGWA WA VIWALO VYA WATOTO VYA UKWE'E.......UMEPENDA DUMBUKIA HUMU .............Na leo alikuwa na mapozi hakika nimekuza.....shukran nyooote kwa kumuwish mwanangu...muumba awabarikii.........xoxo


hii zawadi toka kwa mama......madiniii!!kitu cha brasslet hapo kati
hii zawadi toka kwa baba.....haya mwanangu muombee dad leo amekupa baiskeli ufikapo miaka 18 awe na uwezo wa kukupa garii   inshaallah......ndoto eeee...lazima uoteee mwaya   ;)
mwanangu ananifurahisha nikishamvisha mkanda tu anataka kitabu chake atakichunguliaaa hapoooo hadi tufike.....na hz foleni aaaaa....mwanangu haboreki...;)
YES!!...ni shuleni hapo amekatia cake shule na kula na wanafunzi wenzie na mwalimu wake.....
kuna board imebandikwa kila denti na birthday yake sambamba na passportsize...hakuna kusahau
NAE ALIJIIMBIA Happy birthday to uuuuu
akakata cake yakeeee
mwalimu wake akimsaidia kumlishaaa
class mates walikuwepo kushereheka nae
classmate woote waliondoka na Gift Bags
                                         tukamalizaaaaa....haoooo tukarudi zetu nyumbaniii

No comments:

Post a Comment