Monday, January 10, 2011

ABDUL & MULKHAT SHINDA!!


BRIDE:MULKHAT 
GROOM::ABDUL
VENUE::DIAMOND  JUBILEE
EVENT::SHINDA (HII NAAMBIWA NI KAMA RECEPTION ILA KWA UPANDE WA PILI AQDI ILIKUWA JANA YAKE HAPA NI KULA KULIANDALIWA NA LUNCH Y NGUVU JIONI KUKAWA NA CHAI, KASWIDA NA KISHA RUSHA ROHOO)

                                                  




 
                                         
sasa niwasimulie huu muago...kwenye hii shughuli ya shinda inakua wanawake kwao na waume kwao...sasa bwana harusi akija huku ndo kumvisha pete mkewe wabibi ambao inakuwa ni wake zake....wanagoma asiingie....(kuna wale wakija oa bwana harusi huzuiwa mlangoni hadi atoe pesa) sasa hapa mabibi ndo hugomaa....sasa kazi za dada wabiharusi (mawifi) ndo hupata kazi ya kuwaaga mabibi ambapo huwaaga kwa style hiii
  wakaja kibao na kanga zao na kuwavisha mabibi ili waweze mruhusu mume wao achukue chuma kipya....very interesting
                                         
                                               ndo bwana harusi akaja kwa bi harusi


                          bwana harusi kuna shughuli ,mahsusi alikuja ifanyaa......kumvisha bibie pete
 Swagga lilikuwa hapa naona mtoto anakuja kwa mwengo wa twiga.... kumbe ana mzigo kichwani ni pete bibi ziliwekwa nyweleni....ubunifuuu ndo huu
    NILIWAAMBIA KUWA NITAWATAMBULISHAA MC MPYA .....ILA MKONGWE KATIKA TASNIA HII BI MARIAM ANAPATIKANA NA KATI YA VODACOM....MWANAMKE LAFUDHIII NA SAUTI NYORORO ;)
                                                   


                                                           

                                                      


                                                         
 VIE VIVAZI VYETU VIMEPIKWA NA MAMA ROZELLA TAILORING MART....KAMA UMEPENDA MCHENI 
HUMU
kitu cha madini 'mfuo 'huu nimeupenda saana....hakuna disco cheni hapa ;)

No comments:

Post a Comment