Thursday, January 13, 2011

LEO NI BIRTHDAY YANGU!!


KAMA KAWA NAMSHUKURU MUNGU...KWA KUNIPA PUMZI KUFIKA HAPA NILIPO WAZAZI WANGU SAMBAMBA NA FAMILIA YANGU, PAMOJA NA RAFIKI ZANGU BILA KUWASAHAU WADAU WANGU MNAONIPA CHANGAMOTO LA KUENDELEZA LIBENEKE NA KUJIONA HAKIKA NINA SABABU YA KUWEPO DUNIA HII..

SINA KAWAIDA YA KUFANYA SHEREHE KAMA ILIVYOZOELEKA NA WENGI ILA MIE KILA IFIKAPO BIRTHDAY YANGU HUISHEREHEKEA KWA KUJINUNULIA KITU CHA THAMANI AMBACHO HUKIKUMBUKA SIKU ZOTE  ......NA SANASANAAA  HUPENDA KUJINUNULIA MADINI(DHAHABU) HAPA NIMESHAPITA KWA KASMANI NAKUJICHAGULIA!!!hii siwezi iepuka

namshukuru rafiki yangu Hawa alinisuprize mwaka jana ila kwa sasa hayuko nchini Nammisijee;)......sasa nataka safari hii kufanya kitu tofauti na kawaida kama kutoka  dinner kukata keki nk.....at list kitu nione hii siku special....

 ANY IDEA?!! iwe affordable plzzzz

No comments:

Post a Comment