Thursday, January 13, 2011

NI VODACOM TENAAAA!!

O

Wananachama wa mfuko wa Akiba wa Wafanyakazi Serikalini (GEPF) kuchangia kupitia Vodafone M-Pesa

Mkuu wa mauzo M-Pesa Vodacom Tanzania, Bw. Franklin Bagalla(kulia)akifafanua njia mbadala zitakazotumika kwa wanachama na wasio wanachama wa mfuko wa akiba wa wafanyakazi Serikalini(GEPF)kwa waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kujiwekea akiba kupitia mpango wake wa hiari wa huduma ya M pesa kwenda namba 700200,wapili toka kulia Mkurugenzi wa uendeshaji wa GEPF Anselin Peter,Mkurugenzi mkuu wa GEPF Daud Msangi,Meneja mawasiliano wa Vodacom Nector Foya.

No comments:

Post a Comment