Saturday, January 22, 2011

FLAVIANA MATATA NDANI YA TOPSHOP



zeze juzi katika pita yangu ya ughaibuni nikaingia duka la topshop nikakutana na flaviana Matata  akitangaza bidhaa za hilo duka...hakika i was sooo proud of her na Tanzania.....keep it up flavy

mdau kwa Obama.

No comments:

Post a Comment