Friday, January 14, 2011

TANGAZO

"Kwa heshima na taadhima, naomba kwa wale wote waliosoma degree ya sociology kwa ngazi yoyote, iwe ni Tanzania au nje ya nchi bila kujali ni mwaka gani, bora tu ni sociologist, nitumie email address yako kwenye jucharl@yahoo.com. ni kwa mema tu na si kwa mabaya. Mengine yote tutawasiliana hukohuko kwenye email utakayotuma. Labda tu kwa kutoana uoga ni kwa ajili ya social n professional networking ambayo itakuwa useful kwa kila mmoja wetu. Ukiona tangazo hili mwambie na mwenzio unaeyemjua hata kwa simu ili tuwe na network kubwa. Asanteni.
Kama una swali uliza kwa kutumia email hiyo na utajibiwa. "
Thanks so much.

No comments:

Post a Comment