Monday, January 3, 2011

ANATAFUTA WA KUMFUNDISHA!!

mimi ni mdada wa Kitz,mpenzi sana wa blog yako. Nakupongeza kwa kunipunguzia stress, kila nikiingia kwenye blog yako huwa nakutana na habari nzuri ambazo hunipunguzia stress.Naomba unitangazie kwenye blog yako sehemu ambako naweza kupata mtu akanifundisha dancing ya hizi nyimbo za Afrika ya Kusini (Kwaito) yaani napenda sana kujua kucheza hizo nyimbo, nimechoka kubahatisha.I like dancing. Wanijulishe na bei pia. Asante na siku njema.

No comments:

Post a Comment