Sunday, January 16, 2011

MY BIRTH -DAY ILIVYOKUWA


                                                        hapa nanukiaje kitu cha Acqua di gioia ya Giorgio Arman!!

                      kutwit muhimuuu....unaweza nifuata http://twitter.com/#!/8020FASHIONS
     yap haswaaa ndo kitu kilichonipeleka sababu nilishasema usiku leo ni home....Da khadija alinpa offer ya lunch Double tree hotel......tx khadija
 baada ya lunch tukapata muda wa kuperuzi  na ndipo nikasoma comment zenu mlizonipa idea....na kuapprove
                           nimakutana na mdau wangu rukia.....alinikuna na kitu cha Mnyamaaaa na unyayoooniii ila si mwajua jana me sikuwa camera man nilikuwa napigwa tu basi nikaishia kukimezea mate tu...ila kilinigusaa
 hahahaha mara napokea simu monica  a.k.a Mama JJ akanipigia simu akaniwish birthday na kuniuliza uwapi nikamwambuia duoble tree , akauliza uko hadi saa ngapi nikamwambia hadi jioni akasema nitapita.....Nikawaza monica kwa mapenzi gani ....;)
 akapiga kuuliza bado uko hapo basi kama mwanya wine nazungusha round endeleeni kusubiriii...mawazo yakaanza nibanaaa....lol!! mara akafika na kutaka jua tumekaa upande gani...ndo anaingia na mzigo wa maua shurti na bodyguard kando mkwe JJ ;)
      Akaniambia haya ngoja nimalize kukupa zawadii zako na kisha usome kadi iyo ya kwenye mauaaaa
 nikapokea nikaanza jiuliza jamani hizi zawadi za masharti sasa kama kaamua kunipa zawadi si nitasoma kadi kwa muda wangu(si unajua kina sie mama hambiliki tunachokitaka sie ndo twataka iwe).......akasisitiza
kwa shingo upande ila kimoyo moyo nikaifungua ile bahasha kwanza juu  imendikwa best friend shamim...... nikaguna kimoyo moyonikaifungua, kwanza nikakutana na MAFWEZAAA (FARANGA)...kusoma ndani yap maneno ni yale yale yakwenye kadi ...si nifike chini nakutana na from HAWA MKAMBA nilimrukiaje khadijaaa lol.... THANKS GARLFRIEND U DID IT AGAIN!!
 wakati matukio hayo yanendelea na muda ukawa unasogea ikafika jioni tukaitishaaa cake .....aina yaaa prineline cake taaamu saaana ina kitu kama karanga juu imegawanywa na ice liniiiii mi nilikrem forest cake tu kumbe kuna nyengineeee......HAKIKA nilienjoy
                              nilishushia na kitu cha ice Mochochino sijui mtarekebishaaa kama nimekosea
                                  akaja mpiga pianooo nikapigiwa na kuimbiwa happy birthday
                                      madini....baada ya hayooo mie huyo nikajifungashaaaa kurudi kwetu
 nafika tu naambiwa kuna rafiki yako kaleta mzigo wako.......mie kupekua sioni hata imetoka kwa nani....lol kumuhoji dada maswali akasema alikuja tu mdada nikasema dada kapigwa mkwara asiniambie nikauchuna, nikampigia DINNA ambaye alipania kunipa offer ya dinner akiwa na RACHEL ..Kawine nikawamwagaaa...kupiga simu hawakupokea eti wamenuna nimewatosaaa......Poleni wadogo zangu sikuwa na mood understand me plz.....LOL AT LAST KAJITAJA...thanks HALIMA ,Mama Faiza....cake taaamu ni sponji cake......nafaudujeeee...Pole ile lunch nitakusaka weekend hii ;)
 basi nikaanza fungua zangu zawadi NA MENGINEYO YAKAWA KIFAMILIA ZAIDIIII.......nakuhesabu mkwanja..freshhhhhh Thanks a lot Hawa
 Da khadija alinipa kitu cha Ester lauder....eti nianze paka lipstick.......kazi
                           mdogo wangu khadija alipa Ugonjwa wangi mwengine unyunyuuuuu
                                                   hii ilitoka kwa Monica mama JJ binafsi.....lol kumbe pale alikuja kikazi zaidi  ,,,kupitia kampuni yake ya uandaaji wa shughuli ya FM EVENT bila shaka mtamkumbuka kwenye BIRTHDAY YA MAMA MBONIE  ICHEKI HUMU...........Thanks a lot FM EVENT hata nawe kama una kashughuli kako waweza wasiliana nae



BAADA YA KUFUNGUA ZAWADI....MENGINEYO YALIKUWA KIFAMILIA ZAIDI SIDHANI KAMA MTAKUWA INTERESTED KUONA.....SHUKRAN KWA WOOOTE MLONIPA IDEA, LOL CANDY HUJATULIA IYO idea  NITAMFANYIA IQRA akifikisha miaka mitano;), MLIONISHAURI KUSHARE NA WATOTO YATIMA SHUKRAN....ILA MIE KILA NIPATAPO PATO HUWA NASHIRIKIANA NA YATIMA KWA NAMNA MOJA AU NYENGINE, MLIONIAMBIA NISHIRIKI NA FAMILIA AS IQRA NA BABA JAMANI HAO KILA SIKU TWALALA TWAAMKA ISINGEKUWA SPECIAL AS SHEREHEE ZOOTE TUKO PAMOJA  kila siku kwetu ni sherehe au sababu hatujirushi bloguni ;) ANGALIA NIMETOKA HUKO NIMERUDI KWAO  TWASHEREHEKA  .idea YAKUNUNUA Mikeka kupeleka msikitini nimependa inshaallaw ntaongeza na majuzuuu....nitajipanga kwa hili hata before my birthday.....shukran tena na tena kwa mlioniwish. mbarikiwe saana

love u all

XOXO!!

                               BADO ZAWADI ZATIRIRIKA......hata wewe hujachelewa;)
                                                        thanks Mama P
                                          Thanks Diva Sabah!!

No comments:

Post a Comment