Wednesday, January 5, 2011

CECY BABY SHOWER







                yes hii zawadi inafungwa.....binti nibeep  niwaambie wadau wapatikana wapi









  Miss Tanzania nae alikuwepoooo...Elsa risk taker mwengine ......fashion dare






                                    KISHA WANANCHI WAKAANZA KUBURUDIKA NA KIBAO KATA


         kibao kata kucheza nakutunza...mamboo ya kutumbuliana macho kama tupo kwa machen i AKA....nimemnukuu kaka wa kibao kataa....cnia ndo ilooo nawahabarisha tu ambao hamjawahi enda kwenye vibao siku mkialikwa muwende nachenji za kutoshwa za kutunza la sivyo mtachambwaa na hv wengi wenu kina kyekue kama mimi ;)?!
                             kuna style  za kucheza kuna ambao mahodai wakusimamisha minazi...japo hii inapendeza kwenye rusha roho zaidi
           hii inaitwa safari moja huanzisha nyengine,,,maana umeanza kusimama unashuka taratiiiiiiibu....unapinda mgongo..huyooo unachuchumaaa...unapiga magotiiii na kisha unabong'oka
wajuzi wa mambo huwa wanaichuchumalia kama si kuilalia....niko naandaa kavideo....
.msiponyeze kipanyaaaaaaaaaa

No comments:

Post a Comment