Tuesday, May 11, 2010

BANGLES ZA VITENGE.....chezeyya!!



Bangles zina mvuto wake na sasa zimerudi kwa kasi ya ajabu c vibaya wabunifu wetu pia wakaanza kutengeneza (Incase hawazitengenezi coz cjaziona zaidi ya zile za pembe mostly zinauzwa mwenge kwe vinyago) hata za batiki au vitenge kama hiyo attachment nimekuweke ya bungles za wax.
Brenda - Dar es Salaam

HAYA JAMANI BINTI AFRICA, TMH.....tunataka hii kitu plzz

No comments:

Post a Comment