Thursday, May 13, 2010

LUXURY LINEN........DUKA LA MATAULO,SHUKA NA MITO TOKA MAJUU

LUXURY LINEN....NI WAUZAJI WA MATAULO. SHULA NA MITO INAYOTUMIA COTTON KUTOKA EGYPT.....YANAAGIZWA KUTOKA UINGEREZA NA MAREKANI
WANAPATIKANA:: MJENGO WA TRIPPLE A KARIBU UNICOOL, BAGAMOYO RD
MAWASILIANO WACHEKI :: 0775 002222



NI COTTON YA UKWELI HAINA VUMBI KWA UPANDE WA MATAULO

YAPO YA KILA RANGI NA SIZE







MASHUKA YA UKWELI HAYANA UPELEEE
WATEMBELEE UJIONEEE
DUKA LIKO MAENEO HAYA KATIKA MJENGO WA TRIPLE A CENTRE

MZIGO MPYAA JUNE

SETI YA MATAULO LA USO HADI KUOGEA

KWA WALE WANAOSUMBULIWA NA ALLEJ....SASA TATIZO LIMEKWISHAAA FIKA UPATE MTO WAKO
HAKUNA SUFI HUMO NI MANYOYA YA BATA MWANZO MWISHO...NA UNARUDI KATIKA SHEPU YAKE ILE ILE ULIYOINUNULIA DUKANI

WAHI SASA KAJIPATIE WAKO...MIE TAYARI NAJIMWAYA MWAYAAAA

ENJOY SHOPPING WITH LUXURY LINEN

No comments:

Post a Comment