Friday, May 14, 2010

HALIMA KITCHEN PARTY!!

BRIDE::HALIMA MWAULANGA VENUE::MAMBA CLUB COLOR::PURPLE & GOLD MC::JAMILLA
RAHAAA....INAPOFIKA MAHALA PAKE...MPAKA KUMOYOOO.....TAARAB MUZIKI WA HISIA...UNAHABARI WATU WANALIAGA KWENYE TAARAB?!!



Aunt Farida ndo alikuwa muandazi wa cake...CHEZEA
TASHTI SHTI
Align CenterHAYA SIKU HIYO NIKANYWESHWA UJI WA KUNGU...nilitajiwa waitwa uji waP....jina limenipotea mnaoujua mnikumbushee.

mamaaa LULU viti maalum na kata ya kaweeee...ndo aliyewezeshaaa Bi Halima Mwaulanga aingiee kwa mbwembwe maana ndo alikuwa anammwagia mauaaa
na Shostitooo alikuwa anapita anafushaaa kuondoa husdaa....wenyewe husdaaa,...na husda zaooo watakufa siku si zaooooooo...weraaaa weraaaaaa

champen zilifunguliwaaa pia
MC alikuwa Jamilla...Kitim tim


RED CARPET

























Da Mwanamkasi huyooo......Mkwawaa Mpoooo

No comments:

Post a Comment