Saturday, May 1, 2010

HAPPY BIRTHDAY CASSANDRA !!

CASSANDRA ALIKUWA ANATIMIZA MIAKA 8,NA BIRTHDAY ILIFANYIKA MERRY BROWN
Lol nimejistukia mwezi huu ni full picha za mabirthday...wadau mnisamehe tu si mwajua tena ni MASTARMATE WANGU!!....wink
Maswalaa yalikuwa happa.........maugonjwaaaaaaaaaaaaa







Cassandra akigaiwa wenzie zawadi

Raha ya hapa watoto wanacheza mwanzo mwishoooo

Malaikaa
Baby Sasha ndani ya Jump suit ...CHEZEEEE
Sallyrose.....nae alikuwa bega kwa bega na dadaake
Wasindikizaji walikuwepo wakutoshaa




GLADIATORsssssssssssssssssssssss

No comments:

Post a Comment