Sunday, May 16, 2010

RED CARPET!!!!!

Hhahahah CHEZEA missh B alitoka kikhallat saana, alimkabidhi tuzo ya wimbo Bora wa taarab....Rindima Mish Rindimaa









Lissa....najaribu kuwa njiwa kupeleka salaam kwa hubby....wink

bado natafakariii hizi swagga za maimarth hapo mguunii
Hapa nilikuwa nahoji baby shower lini...Theme ipiiii?!!!



















WANAUMEEE

Nilikocompare macelebrity wa kiume na wakike waliovunja kabati....nikaona wanaume walilipuka kichizi wasanii wengi wa kike waliotokea pale walikuja kisimple saaana walifunikwa hata na wageni waalikwa...wakati hii ndo ilikuwa siku yao ya kuvunja kabati!!












NILIKOGUSWAAAAAA
niliguswaa na jide....mwimbaji bora wa mwaka...alivyolipuka na MAZAGAZAGA TOKA
8020 FASHIONS
haya magauni ya KIM K....

Kimora Lee :(.....yalinikuna saana huko migongoni
viatuziiiiii



stocking zilitawala usiku huu....hivi hizi huwa ni swagga tu au.....ila zinapendezaaa eeee?!!

No comments:

Post a Comment