Friday, May 28, 2010

NDOVU SPECILA MALT IYOOOOO!!


NDOVU SPECILA MALT IYOOOOO!!
NI ILE BIA YA NDOVU SPECIAL MALT ILIYOZINDULIWA MWAKA JANA MWEZI WA SEPTEMBER HII IMETUZWA TUZO YA GRAND GOLD .

MENEJA WA BIA OSCAR SHELUKINDO NA DAVID MINJA AMBAYE NI MENEJA MASOKOWANAELEZA KUWA HIYO NI TUZO YA JUUUUUUUUU BAADA ILE YA TUZO ZA KAWAIIIDA AMBAZO BIA ZINGINE ZA TBL ZISHASHINDA

MPISHI MKUUU 'THE LEGEND BREW MASTER" GAUDENCE MKOLWE AMBAYE NDO HASWAAA ALIYEIPIKA BIA HIYO IKAPIKIKA ANASEMA NDOVU SPECIAL MALT ILISHINDA BAADA YA KUWAKUNA WAONJAJI KWA ASILIMIA 90-100.....KWANI CHINI YA HAPO NDIO HUPEWA BRONZE,SILVER NA GOLD.

KWA TUZO HIYO WAHUSIKA WAKUU AMBAO NI BREW MASTER MKOLWA NA MENEJA WA BRAND HIYO OSCAR SHELUKINDO WANAENDA NCHINI UJERUMANI ILI KWENDA KUKABIDHIWA TUZO HIYO AMBAYO NI YA JUU NA MARA YA KWANZA KWA BIA YA NDOVU SPECILA MALT AMBAYO INA CHINI YA MWAKA TU TANGU IZINDULIWE
ANATAMBULIKA KAMA 'THE LEGEND BREW MASTER' MPISHI HASWAAA WABIA YA NDOVU SPECIAL MALT MR G MKOLWE
OSCAR SHELUKINDO, MENEJA WA BIA YA NDOVU SPECIAL MALT
DAVID MINJA MENEJA MASOKO TBL...AKITANABAISHAA MAMBO YA TUZO YA GRAND GOLD
NA HAWA NDO HASWAA WATAKAOIFUATA TUZO IYO NA UKITAKA KUJUA WANAIPOKEAJE POKEAJE TUZO BIA ZIPI WALIZOSHINDANISHWA NAZO... SWAGGGA WATAKAZORUDI NAZO TOKA HUKO UJERUMANI USIACHE PITIA PITIA HAPA KIJIWENI 8020 FASHIONS ILI NAWE UWE LIVE NA NDOVU SPECIAL MALT KAMA UKO UJERUMANI


NDOVU SPECIAL MALT TO RECEIVE THE GRAND GOLD QUALITY AWARD 2010 IN GERMANY.

A few weeks ago we informed you that Ndovu Special Malt won a Grand Gold Quality Award 2010 from the prestigious Monde Selection, an International Body established in 1961 with the aim of awarding medals for quality to different categories of foods and drinks from various countries; beers being among them.

These awards are of four types, Bronze Award, Silver Award, Gold Award and Grand Gold Award, this being the ultimate beer rating by professional tasters of 90 to 100%,the perfect beer.

In winning a Grand Gold Quality Award, Ndovu Special Malt has only clarified what most Tanzanians have known about the beer since its launch on the 31st of September 2009.
Its taste and quality cements it as truly Tanzanians Premium Lager of choice.

It is with this in mind that we inform you that the award Ceremony will take place in Wiesbaden near Frankfurt Germany on the 31st of May 2010.

The Brew Master Mr. Gaudence Mkolwe and The Brand Manager for Ndovu Special Malt Oscar Shelukindo are scheduled to be at the 2009 Monde Selection in Wiesbaden Germany to receive the award on behalf of Tanzania Breweries and all Tanzanians.

The journey to Germany will be catalogued in various Tanzanian blogs and the return to Dar es Salaam on the 3rd of June 2010 is expected to be a big welcoming event.

Ndovu Special Malt has been recognized in a world forum of many beers and given the highest award possible, all Tanzanians should be proud of this achievement, Tanzanians are enjoying this brand in mass as they know what quality is.

No comments:

Post a Comment