Monday, May 10, 2010

SALHA BABY SHOWER!!


SALHA WA UK
EVENT::BABY SHOWER
VENUE::SALHA PLACE
THEME::ARABIAN
ORGANISERS::LULU,MALIHA, TINA,AISHA NA NAYLA

Naona Salha alibadili Dash Dash....sijui ndo mimba inavomtaka au Pambe...wink

TASHTITII zilitawalaaa kila aliyeingi alivisha HEAD BAND
mh naona watu walikula kama wako kwenye train......wink
HADI UJI WA KUNGU.....mh Lulu!!NG'ONGO PORI....NA PILIPILI NAZI ZILILIWA SIKU HIYOOO....mateeeeeee

ukafika muda wa magift......


Cash money zilitawalaa zaidi










naona na rusha roho ilikuwepoooo.....mwanamke nyonga....tikisaa nyonyoooo....lol

No comments:

Post a Comment